Home » Books & Reference » Unabii wa Mpinga Kristo
Unabii wa Mpinga Kristo Apk

Unabii wa Mpinga Kristo 1.0 APKs

  • Version: 1.0
  • File size: 5.75MB
  • Requires: Android 4.0+
  • Package Name: com.kuja_kwa.mpinga_kristo
  • Developer: DiraJumla
  • Updated May 07, 2024
  • Price: Free
  • Rate 4.50 stars – based on 10 reviews
Unabii wa Mpinga Kristo App

App hii inakupa nafasi ya kipekee kujifunza na kuelewa kwa kina maandiko / Mafundisho ya Biblia takatifu pamoja na unabii unaozungumzia kuja kwa Mpinga Kristo. Ukiwa na app hii, utaweza:

  • Kusikiliza na kutafakari maandiko yaliyochaguliwa yanayohusiana na Mpinga Kristo.

  • Pia unaweza kupakua app zetu nyinginezo za dini kama vile App ya nyimbo za injili, Biblia takatifu agano la kale na jipya, nyimbo za kristo, nyimbo za wokovu, injili ya maji na roho, amri kumi za Mungu pamoja na mafundisho ya neno la Mungu

    Show More